Skip to main content
Skip to main content

Hoja ya kumtimua Nyaribo yaibuka mara ya tatu Nyamira

  • | Citizen TV
    1,351 views
    Duration: 2:34
    Kwa mara ya tatu sasa, mchakato wa kumbandua mamlakani Gavana wa Nyamira Amos Nyaribo umerejea kwenye bunge la kaunti hiyo. Katika kikao maalum mapema leo, mwakilishi Wadi wa Bonyamatuta Julius Matwere amewasilisha hoja akidai Gavana Nyaribo amekuwa akitumia vibaya mamlaka yake na hata kukiuka sheria.