Skip to main content
Skip to main content

Rais Samia atangaza baraza jipya, aanzisha wizara ya vijana

  • | Citizen TV
    2,600 views
    Duration: 1:13
    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza baraza lake jipya la mawaziri siku chache baada ya uchaguzi wa urais uliokumbwa na utata. Rais samia amezindua wizara maalum ya vijana ili kuangazia changamoto zinazowakumba. Huku akifanya mabadiliko katika wizara ya ajira, suluhu pia ameongeza kitengo cha mahusiano na kuamrisha wizara hiyo kuanza mara moja mazungumzo na makundi mbalimbali ya vijana ili kuelewa changamoto zao.