17 Nov 2025 8:04 pm | Citizen TV 3,229 views Duration: 1:29 Waziri wa afya Aden Duale amezindua ujenzi wa hospitali mpya ya kitaifa ya rufaa itakayokuwa na uwezo wa kuwalaza wagonjwa elfu nne kwa mara moja.