- 2,242 viewsDuration: 2:35Kampeni za Kinyanganyiro cha ubunge Mbeere North zinaendelea kupamba moto huku Naibu rais Profesa Kithure Kindiki akitua eneo hilo kumpigia debe mgombea wa UDA naye kinara wa DCP Rigathi Gachagua akiendelea kuuza sera za mgombea wa DP. Pande zote zikiendelea kupigania kiti hicho kinacholumbania ubabe wa siasa Mlima Kenya.