- 293 viewsDuration: 2:47Familia ya Mkenya John Okoth Ogutu aliyeuawa jijini Dar es Salaam, Tanzania wakati wa machafuko ya uchaguzi inasema bado haijapata usaidizi wa kupata maiti yake. Familia ya Ogutu inasema wamekuwa wakihangaishwa na ahadi tupu kila wanapofika kwa idara za serikali kutaka mwelekeo. wanaharakati wa kenya sasa wakimtaka Rais Samia Suluhu Hassan kuwajibikia machafuko hayo