19 Nov 2025 10:21 am | Citizen TV 1,905 views Duration: 2:11 Huku zikisalia siku chache kabla ya uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge cha Malava, baadhi ya viongozi wa mrengo wa Kenya Kwanza wameendeleza kampeni kumpigia debe mgombea kiti hicho kwa tiketi ya UDA David Ndakwa.