Skip to main content
Skip to main content

Christopher Osaga anayewakilishi Nyamasabi akamatwa na polisi

  • | Citizen TV
    269 views
    Duration: 1:25
    Maafisa wa ujasusi kutoka Kisii wamemkamata mwakilishi wadi ya Nyamasibi Christopher Osaga kufuatia visa vya watu kadhaa kuripoti kwamba Osaga amekuwa akiwatapeli akiahidi kuwatafutia nafasi za kusafiri hadi Canada kubadilisha maisha yao.