19 Nov 2025 10:36 am | Citizen TV 90 views Duration: 2:08 Huku kampeni ya siku 16 za dhidi ya dhuluma za kijinsia zikitarajiwa kuanza baadaye mwezi huu, wadau wanawahimiza wazazi kuwa makini na watoto wao msimu huu wa likizo ndefu.