- 140 viewsDuration: 4:58Walimu wa shule za sekondari msingi katika kaunti ya Kajiado wamejiunga na wenzao kote nchini kutoa shinikizo kwa serikali kuwapa ajira ya kudumu pamoja na kupewa mishahara ya juu. Walimu hao ambao wanasema watalazimika kuendeleza misururu ya maandamnano mwakani wameapa kutorejea darasani wakisema.