19 Nov 2025 10:32 am | Citizen TV 133 views Duration: 2:15 Serikali imeanza kuhakiki ujuzi wa wakimbizi katika kambi za Kakuma na Dadaab kupitia mpango wa Recognition of Prior Learning. Mpango huu unalenga zaidi ya wakimbizi 6,000 walio na ujuzi lakini hawana vyeti.