19 Nov 2025 10:47 am | Citizen TV 125 views Duration: 2:20 Serikali ya kaunti ya Elgeyo Marakwet inaendelea na mchakato wa kutafuta maoni kutoka kwa wakazi wa kaunti hiyo kuhusiana na mswada wa fedha wa mwaka wa 2025/2026 katika kaunti hiyo.