19 Nov 2025 10:50 am | Citizen TV 200 views Duration: 1:35 Idara ya Kilimo katika Kaunti ya Nandi imeweka karantini kufuatia kuenea kwa ugonjwa wa ngozi unaofahamika kama Lumpy Skin Disease katika maeneo mbalimbali ya kaunti hiyo.