19 Nov 2025 10:45 am | Citizen TV 64 views Duration: 1:46 Serikali ya kaunti ya Nyamira kwa ushirikiano na mashirika yasiyo ya serikali zimezindua mpango wa mafunzo kwa walemavu, ili kuwawezesha kupata ajira ama kuanzisha biashara na kujiajiri wenyewe.