- 63 viewsDuration: 1:55Serikali kupitia tume ya kuwaajiri waalimu nchini TSC imeombwa kushirikiana na washikadau kote nchini kutoa mafunzo ya kidigitali kwa waalimu wa mtaala mpya wa masomo wa CBE ili kuweza kupata ujuzi wa kidijitali ambao unatumika pakubwa kwenye mfumo huo wa elimu.