- 1,839 viewsDuration: 2:32Tume huru ya uchaguzi na mipaka imewatoza faini ya shilingi milioni moja Philip Aroko na Boyd Were wawaniaji wa kiti cha ubunge, Kasipul kwa kosa la kukiuka sheria za uchaguzi iliyopelekea ghasia eneo la Opodo na kusababisha maafa.