Skip to main content
Skip to main content

Rais apokea ambulansi na vifaa vya afya vya shilingi 350m

  • | Citizen TV
    648 views
    Duration: 1:50
    Shirika la afya duniani (WHO) limemkabidhi Rais William Ruto msaada wake wa ambulensi 14 za kisasa pamoja na dawa zenye thamani ya jumla ya shilingi milioni 350 ili kuboresha huduma za afya