Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Ndetani kaunti ndogo ya Kibwezi waanza kuhifadhi ardhi iliyoharibika

  • | Citizen TV
    86 views
    Duration: 3:29
    Wakaazi wa eneo la Ndetani kaunti ndogo ya Kibwezi Kaunti ya Makueni wameanzisha harakati za kuboresha ardhi ya umma ya ekari kumi na tano iliyoharibika kutokana na mmomonyoko wa udongo uliosababishwa na ulishaji mifugo kupita kiasi. Wakaazi hao wanatumia mbinu ya kuchimba mashimo ya nusu mduara na mitaro ijulikanayo kama half moon au Earth smiles kuhifadhi ardhi hiyo