Skip to main content
Skip to main content

Jamii za Samburu, Turkana na Pokot zamaliza uhasama wao wa kuibiana mifugo mpakani

  • | Citizen TV
    182 views
    Duration: 3:30
    Jamii za Pokot, Turkana na Samburu zinazoishi mpakani mwa Kaunti ya Samburu na Laikipia zimezika uhasama baina Yao na kufungua kurasa mpya ya kuishi Kwa Amani. Jamii hizo zimekuwa zikihusika kwenye uhasama wa Kila mara wa wizi wa mifugo na ulipizaji kisasi na kuchangia umwagikaji damu na mauaji ya wakazi.