Skip to main content
Skip to main content

Wazee na viongozi wa Wajir watishia kuishtaki KWS kwa kuhamisha twiga wawili

  • | Citizen TV
    846 views
    Duration: 3:55
    Wazee na viongozi wa Wajir wanaendelea kushutumu Shirika la Huduma za Wanyamapori, KWS, kufuatia uhamisho tata wa twiga wawili aina ya Somali Giraffe kutoka Wajir hadi Nanyuki.Haya yanajiri siku chache tu baada ya shirika la North Eastern Wildlife Conservancies NECA kushutumu hatua hiyo, likikitaja kuwa hatua isiyozingatia sheria za uhifadhi.Sasa, viongozi hao wametoa onyo kali wakisema wako tayari kwenda mahakamani kuishtaki KWS.