- 372 viewsDuration: 4:06Zaidi ya wakenya 200 waliokuwa ughaibuni na kurudi nchini kutokana na dhulma wamepokea mafunzo ya kujitegemea huko Mombasa. Wakenya hao wamesimulia baadhi ya madhila waliyopitia huku serikali na chama cha kudhehia wakisema kuwa idadi kubwa ya wakenya walioko ughaibuni hasa milki ya kiarabu wameshindwa kuweka akiba au kuwekeza kwa maisha ya baadaye wanaporudi nchini.