20 Nov 2025 10:11 am | Citizen TV 268 views Duration: 2:09 Viongozi wa dini na wadau wengine kutoka kaunti ya Garissa wametamaushwa na viwango vya juu ya matumizi ya madawa ya kulevya miongoni mwa vijana eneo hilo wakati huu wa likizo ndefu.