- 128 viewsDuration: 1:56Mahakama Kuu ya Nyeri imetoa uamuzi kuwa Mutitu Water Self-Help Group ndilo shirika halali linalomiliki na kusimamia Mradi wa Maji ya Mutitu, ikikamilisha mzozo wa miaka 15 kuhusu udhibiti wa mojawapo ya mifumo muhimu ya usambazaji maji ya jamii hiyo.