20 Nov 2025 10:21 am | Citizen TV 199 views Duration: 2:27 Watetezi wa haki za mtoto msichana katika kaunti ya Tana River, wameendeleza vita dhidi ya ukeketaji msimu huu wa likizo ndefu na kuwaonya wahusika kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao endapo watapatikana.