- 3,572 viewsDuration: 2:59Polisi wanachunguza kisa ambapo mhudumu mmoja anayefanya kazi ya kuwasilisha bidhaa zilizonunuliwa mtandaoni alipatikana ameuwawa kikatili mtaani South B, hapa Nairobi. Mwili wa Anthony Otieno ulipatikana chini ya kitanda katika jengo moja mtaani humo, ukiwa na damu nyingi na umefungwa miguu na mikono.