Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaendelea na juhudi za kuwatafutia makao waathiriwa wa maporomoko ya Elgeyo Marakwet

  • | Citizen TV
    172 views
    Duration: 2:45
    Serikali inaendelea na juhudi za kuwatafutia makao mbadala waathiriwa wa maporomoko ya udongo katika kaunti ya Elgeyo Marakwet. Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen anasema hatua hiyo itawasaidia waathirwa mbali na kuokoa maisha watu wengine wanaoishi katika hali hii. Alikuwa akizungumza katika ibada ya mazishi ya watu wanane kati ya 39 waliofariki katika mkasa huo