- 340 viewsDuration: 3:09Uzalishaji wa miche ya mhogo isiyo na magonjwa umepigwa jeki kupitia teknolojia ya kisasa ambapo mizizi ya miche hiyo inakuzwa bila kutumia mchanga. Shirika la Utafiti wa Kilimo na Mifugo, KALRO, linasema mbinu hii inaweza kubadilisha kabisa uzalishaji wa mihogo kwa kuongeza kasi ya uzalishaji na kupunguza magonjwa