- 4,297 viewsDuration: 29:19Rais William Ruto atahutubia taifa bungeni leo. Hotuba kuangazia mafanikio ya serikali ya Kenya Kwanza. Serikali imeanzisha miradi mingi ukiwemo wa nyumba za bei nafuu. Wakenya wengi walalamika kuhusu hali ngumu ya maisha.