20 Nov 2025 1:16 pm | Citizen TV 9,998 views Duration: 39s Mkurugenzi wa Uhariri wa kampuni ya Royal Media Services (RMS), Linus Kaikai, ni miongoni mwa mawakili 920 ambao wameapishwa kuwa mawakili wa Mahakama Kuu ya Kenya na Jaji Mkuu Martha Koome.