20 Nov 2025 1:23 pm | Citizen TV 3,107 views Duration: 1:16 Wakazi wa kijiji cha Shalete, kaunti ya Wajir, wanaishi kwa tahadhari baada ya kifaa kinachoshukiwa kuwa kilipuzi kudaiwa kutua eneo hilo kimakosa kutoka kambi ya kijeshi iliyo karibu.