- 321 viewsDuration: 2:54Muungano wa wasomi kutoka eneo la Nyiro Samburu kaskazini,wamempongeza Rais William Ruto,Kwa kuwapa eneo jipya la uwakilishi la Kaunti ndogo ya Nyiro.Wakazi hao sasa wanataka kuharakishwa Kwa mchakato wa kuchapisha kwenye gazeti rasmi la serikali Kaunti hiyo ndogo ,na kutumwa Kwa maafisa wa serikali ili kuanza kuhudumu katika eneo hilo