20 Nov 2025 1:40 pm | Citizen TV 680 views Duration: 1:59 Viongozi wa dini na wadau wengine kutoka kaunti ya Garissa wametamaushwa na viwango vya juu ya matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana eneo hilo wakati huu wa likizo ndefu.