- 1,990 viewsDuration: 46sRais William Ruto amepewa tuzo maalum kwa mchango wake katika maendeleo ya soka nchini Kenya wakati wa tuzo za shirikisho la soka afrika CAF za mwaka wa 2025 zilizofanyika nchini Morocco. CAF kupitia kwa rais wake Dkt. Patrice motsepe lilitambua juhudi za rais ruto kwa kuimarisha miundo ya michezo hasa soka.