Skip to main content
Skip to main content

Shirika la kupambana na dawa za kusisimua misuli yawasihi wanariadha kutotumia dawa zisizorasimishwa

  • | Citizen TV
    735 views
    Duration: 1:06
    Shirika la kupambana na dawa za kusisimua misuli nchini kenya (ADAK) limewahimiza wanariadha kuwa makini na dawa za dukani zisizo na ushauri wa daktari. Adak inasema baadhi ya bidhaa hutumika bila kujua zinaweza kuhatarisha taaluma za wanariadha.