Skip to main content
Skip to main content

Ruto aongeza fidia kwa wagonjwa wa saratani chini ya mpango wa SHA

  • | Citizen TV
    2,345 views
    Duration: 3:04
    Ni afueni kwa wagonjwa wa saratani nchini ambao sasa wataanza kufaidi zaidi chini ya mpango wa SHA kuanzia mwezi ujao. Rais William Ruto ametangaza kuwa wagonjwa hao watalipiwa shilingi 800,000 za matibabu kwa mwaka badala ya shilingi 550.Rais Ruto pia amesifia mpango wa bima ya afya ya jamii - SHA- akisema umewasaidia wananchi wa kawaida kupata huduma za matibabu