Skip to main content
Skip to main content

Timu ya Kenya ya Deaflympics yaomba maandalizi bora baada ya kupoteza mechi zote Tokyo

  • | Citizen TV
    204 views
    Duration: 1:33
    Timu ya mpira wa vikapu ya wasio na uwezo wa kusikia imetoa wito wa kuwa na maandalizi ya kutosha kabla ya michezo ijayo ya deaf-lympics. Kenya ilikuwa na wakati mgumu kwenye mashindano hayo huko Tokyo Japan, ikipoteza mechi zote tatu kwa tofauti kubwa ya pointi