21 Nov 2025 10:12 am | Citizen TV 194 views Maafisa wa polisi kule Transmara Kusini wanaendelea na msako wa majambazi ambao waliwauwa wafanyabiashara wawili katika soko la Loliondo usiku wa kuamkia Alhamisi kabla ya kutoweka bila kuiba chochote.