21 Nov 2025 10:18 am | Citizen TV 1,839 views Duration: 2:08 Wingu la simanzi lilitanda pale miili ya watu 25 walioaga dunia kwenye maporomoko ya ardhi Chesongoch kaunti ya Elgeyo Marakwet, ilipokuwa ikiondolewa kwenye makafani ya hospitali ya rufaa na mafunzo ya Moi jijini eldoret.