Skip to main content
Skip to main content

Bidhaa nyingi kutoka Lamu zakosa soko kwa kutoidhinishwa na KEBS

  • | Citizen TV
    282 views
    Duration: 2:01
    Bidhaa nyingi kutoka Lamu yakiwemo mabuyu, labania na Achari zimekosa soko nje ya Lamu na matafa mengine kwa sababu ya kutoidhinishwa na shirika la kutathmini ubora wa bidhaa KEBS.