Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa bodaboda wajadili mikakati ya kumaliza wizi

  • | Citizen TV
    406 views
    Duration: 1:47
    Kama njia moja ya kuimarisha usalama wa boda boda na kupunguza visa vya piki piki kuibwa katika mji wa kajiado muungano wa boda boda katika mji huo kwa ushirikiano na kampuni moja ya kuuza pikipiki umeandaa kikao cha kuhamasisha wahumudumu wa boda boda kuhusu usalama wao.