21 Nov 2025 10:38 am | Citizen TV 464 views Duration: 1:59 Mamia ya wakazi wa Kaunti ya Trans Nzoia wamenufaika na kandarasi mbalimbali kutoka Serikali ya Kaunti kupitia Hazina ya Nawiri, iliyoanzishwa na Gavana George Natembeya.