21 Nov 2025 1:20 pm | Citizen TV 411 views Duration: 2:22 Waziri wa elimu Migos Ogamba amesema kufikia sasa visa 418 vya udanganyifu wa mtihani wa KCSE vimeripotiwa kote nchini, akisema visa hivyo vimepungua kutoka visa 614 vilivyoripotiwa katika mtihani wa mwaka 2024.