- 39 viewsHuku mtihani wa Kitaifa kwa kidato cha Nne KCSE ukikamilika hii leo visa vya watainiwa kutungwa ujauzito vimepunga kutoka 26 mwaka jana hadi 12 mwaka huu katika kaunti ya Kajiado . Akizungumza wakati akisambaza karatasi ya mwisho ya somo la Fisikia Katka Kasha la Kajiado mjini, Mkurugenzi wa ELimu kaunti ya Kajiado Dkt Martin Cheruiyot anasema pia kulikuwa na vifo viwili vya watainiwa, hata hivyo walimu na wanafunzi wameeleza matumaini ya Kufanya vyema kwenye mtihani huo.