- 8 viewsFamilia moja eneo la Kibra hapa jijini Nairobi inamtafuta jamaa yao Zablon Onsare mwenye umri wa miaka 20 aliyetoweka tarehe 6 Novemba mwaka huu. Familia hiyo iliripoti kisa hicho katika kituo cha polisi cha Kibra na sasa inataka idara ya polisi kuingilia kati kuwasaidia kumpata