Skip to main content
Skip to main content

Kenya na Uganda kukabiliana na dawa ghushi za wadudu mipakani

  • | Citizen TV
    30 views
    Timu ya pamoja kutoka mamlaka za kudhibiti dawa za kuua wadudu na wale wa usalama kutoka kenya na uganda imetoa onyo kuhusu ongezeko la uingizaji wa dawa ambazo hazijaidhinishwa kwa matumizi afrika mashariki. Viongozi wa nchi hizi mbili ambao walizuri mpaka wa malaba walisema bidhaa hizo hatari zinatishia usalama wa chakula, afya ya wakulima.