Athi-River: Dereva wa miaka 9 na babake wa miaka 40 washikwa na polisi

  • | NTV Video
    576 views

    Polisi katika eneo la Athi River wanamzuilia mwanaume mwenye umri wa miaka 40 aliyepatikana na mtoto wake wa umri wa miaka 9 akiendesha gari katika barabara kuu ya Nairobi - Mombasa

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya