21 Nov 2025 1:51 pm | Citizen TV 416 views Duration: 1:53 Wakulima katika kaunti ya Machakos wanazidi kupambana na mdudu hatari maarufu Fall Armyworm ambaye amevamia na kuharibu mahindi yao shambani.