24 Nov 2025 10:10 am | Citizen TV 1,840 views Duration: 2:09 Wabunge wanaoegemea mrengo wa upinzani wameendeleza shutuma dhidi ya serikali, kwa madai ya kutumia hela na rasilimali za umma kuwahonga wapigakura .