Skip to main content
Skip to main content

Makatibu wa serikali wampigia debe rais Ruto huko Kilgoris

  • | Citizen TV
    728 views
    Duration: 1:48
    Katika kile kinachoonekana kama hatua iliyopangwa vyema na kundi la makatibu wanane kutoka wizara mbalimbali kupigia debe uungwaji mkono kwa rais William Ruto kuelekea uchaguzi wa mwaka 2027, kundi hilo linalojitambulisha kama team kazi , limesema lengo lao ni kumsaidia rais kutekeleza miradi yake .