24 Nov 2025 10:25 am | Citizen TV 490 views Duration: 1:44 Wakazi wa Kijiji cha Salabwek wadi ya Mara eneo bunge la Narok Magharibi wameandamana wakilalamikia hali duni ya zahanati ya eneo hilo.