25 Nov 2025 10:58 am | Citizen TV 226 views Duration: 1:19 Wakazi wa Magombo na vitongoji vyake kule Manga katika kaunti ya Nyamira wameshauriwa kushirikiana na idara ya polisi katika eneo hilo ili kuimarisha usalama.